masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,800
- 16,817
- Thread starter
-
- #41
Kwenye mtandao siyo rahisi. Mi nilikuwa nahangaika kama wewe nikafukuafukua sana youtube na kwingineko nikaambulia tu video za kawaida ambazo siyo za kimafunzo. Nikaja kuibahatisha hii kw jamaa yangu mmoja jeshini. Kuitupia hapa ni ngumu manake folder ni kubwa (more than GB).
Azura wanafundisha wako pale karibu na daraja la kawe ukiingia google utapata contacts zao, kuna shirikisho la japani tanzania wanafundisha karate hiki ni chuo kimesajiliwa kipo pale mbuyuni karibia na kanisa la nyerere 0755256605, pia kuna wengine wanafundisha taekwondo ni martial arts ya kikorea 0758464961 na kama unataka ulinzi binafsi na dereva ni pm nimesoma zote hizo na matumizi ya silaha na udereva wa ulinzi
Kuamua kuachia shuka, sime na shale....................kuna mengi huku duniani!!!!!
Lugalo
hii hapa stun gun.unaitumia kumu incapastate adui.Vibaka wa bongo heri uwe na maji ya pilipili kichaa,uweke kwenye kale chupa cha chilisosi yenye matundu mengi,akikusogelea tu unaibinya machoni kwake.
Halafu hivi kuna hizi short za umeme imekaa kama silaha hivi,huwa naona kwenye movie utakuta polisi wanakamata nayo majambazi au wezi,kibongo haiuzwi?
Nikimuagiza mtu itakuwa poa kwako!!!?????
Hakuna mashart yoyote Bongo kila kitu Tambalale,,,! ukiwa Serious fasta unakamata Manati ya muzungu,,,!
Sure thing naona majembe tu na zana za kilimo!!!!!
ya kujilinda tu na viattack vidogo vidogo....
mimi ni karateka but kymfundisha mtu lazima kuna basic information toka kwake nataka nizijue ili kumpa ushauri sahihi na kama unaweza kufanya hayo matizi au laaaa
hii hapa stun gun.unaitumia kumu incapastate adui.
manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
selfdefenceproduct.comnazipata wapi mkuuu plz niambie
dada angu ukiibiwa simu utanunua ingine lakini habari za kupambana na vibaka au majambazi utaumia bure tu na vitu vyako watachukua,jaribu tu kuwa mwangalifu sehemu unazotembelea na usitembee peke yako usiku sana. sijui unakaa maeneo gani lakini jitahidi kuwa mwangalifu.sikushauri upambane na vibaka au majambazi,wakikuwahi waachie wasije wakachukua na uhai wako.
selfdefenceproduct.com