masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,397
- 19,357
mimi ni mtaalamu sana wa martial art,nielekeze gheto lako lilipo ntakua nakuja kila siku kukufundisha.
Mmhh martial arts ya kwenda gheto kwa masai dada bila shaka itakuwa sexual arts! Masai dada nipm nikuelekeze kwa jamaa yangu. Mm najua but muda sina kutokana na ubize wa kazi zangu!
shule za sanaa za kujilinda ziko nyingi inategemea sanaa unayo itaka na umbali kutoka mahali unapoishi
mkuu naonaga wana masharti mengi sana kuimiliki hiyo
Nina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...
Haya mkuu 15 rounds luger! !!!!
Austria made!!!!!
Vibaka wa bongo heri uwe na maji ya pilipili kichaa,uweke kwenye kale chupa cha chilisosi yenye matundu mengi,akikusogelea tu unaibinya machoni kwake.
Halafu hivi kuna hizi short za umeme imekaa kama silaha hivi,huwa naona kwenye movie utakuta polisi wanakamata nayo majambazi au wezi,kibongo haiuzwi?
Nina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...
manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
charity24 naweza kuipata kwenye mtandao
mkuu kwa kumsaidia zaidi dada ungeitupia humu.