Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

Msaada wa tiba ya ugonjwa wa ngozi

WanaJF habari za Jumapili.

Naombeni msaada wenu nina changamoto ya hili tatizo kwenye picha yapata sasa kama miezi 6 yamenipata haya

Nimetumia kila aina ya dawa hospitali nimejaribu kubadilisha hospitali tofauti tofauti lkn sipati nafuu.

Najikuna sana viwiko na shingoni mpaka ngozi inatoka

Naombeni msaada wenu waheshimiwa

MUNGU awabariki sana

View attachment 2293908View attachment 2293909
Umetumia hile ya kupaka inaitwa Scaboma
 
Nadhan inaeza ikawa pumu ya ngozi.
Usitumie medicated soap.
Vaa nguo za cotton.
Epuka vitu vyenye harufu kali.
Unaeza kununua Vaseline isiyo na harufu upake ngozi iskae kavu.jioni meza cetrizene au loratadine moja
Onana na dermatologist kuna dawa utapewa ya kupaka.
Yes ni pumu ya ngozi hio na hua inatesa sana , inasababishwa na allegy tafuta cream inaitwa cerave eczema oily cream ,inauzwa bei ghali ila itakusaidia
 
Back
Top Bottom