profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,433
Nilikuwa nimetokwa na kama mapunye hivi mwili mzima,baadae viligeuka vipele vyenye unyevu vinavyotoa maji,nikaenda hosp,nikapimwa magonjwa ya zina nikakutwa safi,nikapewa amoxilin,dawa ya allergy na tube ya kupaka.
Baada muda vilikauka, lakini sasa nawashwa sana,na nikijikuna naona kama panaacha alama panakuwa,peusi,nimetumia sabuni ya tetemosol na kupaka tube mbalimbali lakini wapi,cheki picha kwa ufafanuzi zaidi.