The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 845
- 1,443
Inaitwa Avamys Nasal Spray ni KIBOKO narudia tena ni KIBOKO kanunue 15k thanks me laterWakuu polen kwa majukum,
Nimekuw nasumbuliwa na tonsils mara kwa mara maumiv shingon nashindw kula vizur,siwez kuongea coz napat maumiv, nmeenda pharmacy nimepew daw lakin sion kam zinaniletea nafuu
Kwa wanaoelew tatizo hil tafadhal naomba mnisaidie dawa inayoweza kutib hili tatizo,dawa yoyote iwe ya hospital au hat ya kienyeji..
Kuna mdau humu alisema hivii...
Sawa mkuu ntajarib nashkur kwa ushaur wako
"Chukua kaa la moto, tumbukiza kwenye kikombe chenye maji. Kunywa hayo maji wakati bado kaa linaungulia"
sawa mkuu shukranInaitwa Avamys Nasal Spray ni KIBOKO narudia tena ni KIBOKO kanunue 15k thanks me later
Gharama zake zipo vp mkuu na hospital gan ulipata iyo hudumaSuluhisho ni kuziondoa,
Nenda hospital watakufanyia operation ya kuzikata na biashara inakua imeisha utakunywa vi vya baridi kwa raha zako hata Homa Homa zitapungua maana huwa zinaleta Homa sana.
Me Nilienda nikamwambia Doc nimechoka kunywa dawa mara kwa mara nataka nizikate basi.
Sasa hivi na enjoy tu full burudani
Suluhisho ni kuziondoa,

Nilimtumia bima so siku uliza Gharama. Ila Naamini haizidi laki 5Gharama zake zipo vp mkuu na hospital gan ulipata iyo huduma
Okay shukrani MkuuNilimtumia bima so siku uliza Gharama. Ila Naamini haizidi laki 5
Inaitwa Avamys Nasal Spray ni KIBOKO narudia tena ni KIBOKO kanunue 15k thanks me later
hii njia inafanya kazi 💯Kuna mdau humu alisema hivii...
"Chukua kaa la moto, tumbukiza kwenye kikombe chenye maji. Kunywa hayo maji wakati bado kaa linaungulia"