Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 365
- 307
Habari za asubuhi wana JF,
Naomba kuelekezwa home remedy kwa ajili ya tatizo la kuhisi kama kuna mchanga kwenye macho, macho kuuma na kupoteza uwezo wa kuona vizuri mazingira yenye mwanga na kutoa machozi.
Natanguliza shukrani.