Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 345
- 249
kuna tatizo linanisumbua kwenye njia ya mkojo lina muda mrefu toka 2011 na lilianza kidogo kidogo nikibinya kuna maumivu nayapata kama ya vidonda nimeangaika hospital walinichoma powersef lakini tatizo bado ,wakanipa dawa ya noflosaxilin maumivu yakapotea baada ya wiki yakarudi .
nikaona nikajaribu kwa wale jamaa wa mashine za kukupima kwa kukishika kwa mkono wakaniambia nina vidonda lakini wamenipa dawa laki hali bado vile vile
nikaona nikajaribu kwa wale jamaa wa mashine za kukupima kwa kukishika kwa mkono wakaniambia nina vidonda lakini wamenipa dawa laki hali bado vile vile