Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,867
- 172,572
Nimempenda mkeo kutoka ndani ya moyo wangu, wallah tena.... 😀Mkuu hii issue ni serious inanisumbua na sina uhuru hata wa kumwambia mke wangu. Nabaki naumia tu,ntaanzaje kumwambia!!? Nipe ushauri mkuu...