Asante1. Acha punyeto
2. Fanya mazoezi
3. Kunywa maji ya kutosha
4.kula lishe bora, matunda, mboga za majani.
Mara moja moja piga Ally kasusu.
Nyama nyekundu na maharage ni high rich in Zinc,madini ya zinc yanasaidia katika uzalishaji wa mbegu bora.🙏Pole mkuu,jitahidi kula vyakula hivi mara kwa mara
1.Karanga
2.Mbegu za tikiti zina omega 3 fatty acids
3.Spinach zina high folic acid,zinasaidia mbegu ziwe bora kwa kutungisha.
4.Mayai,ya kienyeji ni bora zaidi.
5.Kunywa maji ya kutosha pamoja na mazoezi,pendelea kunywa fresh soup ya samaki.kwa uwezo wa mungu atakusaidia mkuu.
Nile kawaida au niziweke kwenye maji alafu nije kama juiceMwanangu.. ongeza kula tende nyeusi nz maziwa (ukikosa) Lula tende za kawaida!!
Utabarikiwa mfumo nzima.
Usijali kbs... hili tunda (tende) hiliwa zima ni bora na ukichanganya na maziwa ukaBlendi (mixture)ukainywa kama juice...nayo inampact kubwa...Nile kawaida au niziweke kwenye maji alafu nije kama juice
Mpe tiba hapa tatizo lako mzizimkavu ni tamaaMkuu pole kwa tatizo la Low Sperm count ushauri uliopewa ikiwa hauja kusaidia nitafute mimi ili niweze kukutibia matatizo yako upate kupona uguwa pole.
Hahahabaha... Ni tabibu kama Dr. Mwaka, Dr. Isaac ndodi au madokta Wengine hivyo ana Fanya biashara ndg. MvumilieMpe tiba hapa tatizo lako mzizimkavu ni tamaa
Tiba inatolewa bure? Ukiona tiba inatolewa bure ujuwe hiyo sio tiba na haiwezi kuponyesha mgonjwa. Hata hospitali zipo za aina 2 Hospitali za bure hakuna tiba nzuri na Hospitali za pesa kuna tiba nzuri.Subiri waje wana Group wampe tiba ya bure tuone kama ataweza kupona matatizo yake.Mpe tiba hapa tatizo lako mzizimkavu ni tamaa
Tiba inatolewa bure? Ukiona tiba inatolewa bure ujuwe hiyo sio tiba na haiwezi kuponyesha mgonjwa. Hata hospitali zipo za aina 2 Hospitali za bure hakuna tiba nzuri na Hospitali za pesa kuna tiba nzuri.Subiri waje wana Group wampe tiba ya bure tuone kama ataweza kupona matatizo yake.
SawaKuwa low sperm count haikufanyi usipate mtoto cha kufanya licha ya yote iyo tiba,vyakula, mazoezi nk nakushauri jaribu kupunguza siku za kutom.ba unapotaka kutafuta mtoto mfano mzunguko wa mkeo siku anazoweza kuconceive labda tarehe 20 ktk mwezi huo basi jaribu jaribu ku abstain kwa kipindi chote mpaka tarehe mtakazokutana
Sawa nashukulu,Mkuu pole kwa tatizo la Low Sperm count ushauri uliopewa ikiwa hauja kusaidia nitafute mimi ili niweze kukutibia matatizo yako upate kupona uguwa pole.
Kuwa na Manii ndogo kunaweza kumfanya asiweze kumshikisha mwanamke mimba Mkuu.Kuwa low sperm count haikufanyi usipate mtoto cha kufanya licha ya yote iyo tiba,vyakula, mazoezi nk nakushauri jaribu kupunguza siku za kutom.ba unapotaka kutafuta mtoto mfano mzunguko wa mkeo siku anazoweza kuconceive labda tarehe 20 ktk mwezi huo basi jaribu jaribu ku abstain kwa kipindi chote mpaka tarehe mtakazokutana
Asisahau sala na maombi piaPole mkuu,jitahidi kula vyakula hivi mara kwa mara
1.Karanga
2.Mbegu za tikiti zina omega 3 fatty acids
3.Spinach zina high folic acid,zinasaidia mbegu ziwe bora kwa kutungisha.
4.Mayai,ya kienyeji ni bora zaidi.
5.Kunywa maji ya kutosha pamoja na mazoezi,pendelea kunywa fresh soup ya samaki.kwa uwezo wa mungu atakusaidia mkuu.