Msaada wa tatizo la wifi&bluetooth ktk iphone 4s

Msaada wa tatizo la wifi&bluetooth ktk iphone 4s

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
NINA IPHONE 4S NIMEITUMIA VIZURI IKIWA NA iOS 6 LAKINI BAADA YA KU UPDATE iOS7 TATIZO LA WIFI NA BLUETOOTH KUTOKUFANYA KAZI LIKATOKEA,NIMEJARIBU KU RESET NET SETTING LAKINI HAIKUSAIDIA,
NAOMBA USHAURI ZAIDI
 

Attachments

  • IMG_5186.PNG
    IMG_5186.PNG
    4.2 KB · Views: 129
  • IMG_5187.PNG
    IMG_5187.PNG
    5 KB · Views: 132
NINA IPHONE 4S NIMEITUMIA VIZURI IKIWA NA iOS 6 LAKINI BAADA YA KU UPDATE iOS7 TATIZO LA WIFI NA BLUETOOTH KUTOKUFANYA KAZI LIKATOKEA,NIMEJARIBU KU RESET NET SETTING LAKINI HAIKUSAIDIA,
NAOMBA USHAURI ZAIDI
umeweka IOS 7.0 au latest 7.1.1? nenda kwenye Setting - General - Reset - 'Reset Network Settings' ita reset Router ya simu. Tatizo likijirudia itabidi uRestore IOS 7.1.1 tena..

34jdv89.png
 
Now ipo 7.1.1 nshafanya hiyo reset net setting,bila mafanikio na hiyo option ya kurestore itanirudisha kwenye iOs 6?na je haiwezi kuwa ni hardware prob?
 
Now ipo 7.1.1 nshafanya hiyo reset net setting,bila mafanikio na hiyo option ya kurestore itanirudisha kwenye iOs 6?na je haiwezi kuwa ni hardware prob?
restore hiyo hiyo ios 7.1.1..
 
Mie ttz kidogo linafanana! Nina iOS 7.1.1 na hotspot imepotea, haionekani! Msaada...
 
Mie ttz kidogo linafanana! Nina iOS 7.1.1 na hotspot imepotea, haionekani! Msaada...
lazima utakuwa unatumia mtandao wa Tigo, badilisha weka line ya Airtel au Voda hotspot itarudi,,
 
Swali la nyongeza: mtandao gn ni better kwa iphone kati ya voda na airtel?
 
Swali la nyongeza: mtandao gn ni better kwa iphone kati ya voda na airtel?

sidhani km kuna mtandao bora kuliko mwenziwe,cha msingi wewe mwenyewe ndio upime ktk eneo ulilopo upi unao fanya vizuri
 
kuna option nimeikuta kwenye forums mbalimbali ya kuiweka simu ktk friji kwa dk kadhaa,duh KWELI AISEE nilivyoiwasha si wifi ikaonekana maajabu gani haya sasa tena baada ya kuitumia tena ikapotea siku ya pili yake.Hapa nadhani aple walifeli,
kama kuna ufafazi wa hili naomba tafadhali
 
Back
Top Bottom