STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 74
Nina Toyota RunX ya 2006 nilinunua kwa mtu Dar miezi minne iloyopita, niliitumia siku zote bila kujua kama ina ttzo...lkn kuna siku niliiendesha umbali mrefu kwa speed kubwa ikawa inaingiza gia na kutoa ikawa kama inapiga mateke.
Inagonga kwenye gia box. Cha ajabu aioneshi taa yoyote kwenye dash board... Msaada naambiwa tatizo itakuwa ety Control box kuna ukweli.
Naipataje wakuu kama ndo Control box
Inagonga kwenye gia box. Cha ajabu aioneshi taa yoyote kwenye dash board... Msaada naambiwa tatizo itakuwa ety Control box kuna ukweli.
Naipataje wakuu kama ndo Control box