Msaada wa tatizo la camera

souvenir

Senior Member
Aug 24, 2012
136
30
Habari za wken wakuu?Jamani naombeni msaada kwa anayejua fundi ,nina camera aina ya nikon coolpix nilimuazima mtu kunirudishia nikiwasha inawaka fresh nikipiga picha inazima hapo hapo,,ina charge ya kutosha.Naomba anayeweza kunisaidia kutatua tatizo au wapi naweza kupata mtaalamu kati ya Dar,Mwanza.Arusha na Moshi ndio mikoa naweza mfikia mtaalamu please please.
 
Habari za kwen wakuu?Jamani naombeni msaada kwa anayejua fundi ,nina camera aina ya nikon coolpix nilimuazima mtu kunirudishia nikiwasha inawaka fresh nikipiga picha inazima hapo hapo,,ina charge ya kutosha.Naomba anayeweza kunisaidia kutatua tatizo au wapi naweza kupata mtaalamu kati ya Dar,Mwanza.Arusha na Moshi ndio mikoa naweza mfikia mtaalamu please please.

Ngoja nkupm contact km ukiweza kwa moshi.
 
Back
Top Bottom