Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 643
- 447
Tumia dawa za kiarabu/kihindi... (mbadala)Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo 😔. Naombeni msaada
32yrs old, 59kg na hypertension ya kurithi mkuuUnsure uzito gani, umri? Ukijua chanzo cha hypertension itasaidia sana.
Waweza kunisaidia majina yake na mahala naweza pata hapa Arusha? 🙏Tumia dawa za kiarabu/kihindi... (mbadala)
Urefu wako ni futi ngapi?32yrs old, 59kg na hypertension ya kurithi mkuu
5.5 feets na sinywi pombeUrefu wako ni futi ngapi?
Unakunywa pombe?
Ninazo, ngoja nijaribuTafuta chia seeds, anza kutumia kila siku.
Tumia wiki mbili mfululizo then leta mlejesho.Ninazo, ngoja nijaribu
Nashukuru 🙏Tumia wiki mbili mfululizo then leta mlejesho.
Hata hypertension itaanza kutafuta mlango wa kuondokea.
Kakwambia nani hypertension niya kurithi??32yrs old, 59kg na hypertension ya kurithi mkuu
Kuanzia babu mpaka ndugu zangu wa tumbo moja wote wanayoKakwambia nani hypertension niya kurithi??
Kwani ulikua nayo toka mdogo, chini ya miaka mitano?
Ninazo, ngoja nijaribu
Kataa hiyo roho ya maradhi makubwa kama hayo anza kumwomba Mungu kuvunja nguvu za huo ugonja kisha jitibuKuanzia babu mpaka ndugu zangu wa tumbo moja wote wanayo
Usipende kutumia neno kujaribu' kwenye tiba
Kakuelekeza sahihi
Mm nasema ongeza na mlonge
Mdalasini
Na tangawizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kataa hiyo roho ya maradhi makubwa kama hayo anza kumwomba Mungu kuvunja nguvu za huo ugonja kisha jitibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinapatikana wap na n shs ngap????Tafuta chia seeds, anza kutumia kila siku.
Vip kwa mama mjamzito???Tafuta chia seeds, anza kutumia kila siku.
Ikkatae kwaa jina la yesu ni pepo hilo32yrs old, 59kg na hypertension ya kurithi mkuu
Nina tatizo la allergy kwa sababu nikipata vumbi tu napata mafua, pua zinawasha na macho pia, nikitumia dawa yoyote yenye priton naumia sana kifuani upande wa kushoto pamoja na mkono wa kushoto, nipo kwenye dozi ya hypertension natumia losartan H, nini yaweza kuwa shida? Maana sasa nashindwa kukontro allergy kwa sababu hiyo [emoji17].
Naombeni msaada