msaada wa tangazo kwenye jf

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Naomba ushauri,nataka kuweka tangazo na picha kwenye Jf.
Nimeona ndovu wameweka lao na mimi ningependa niweke jirani na Ndovu.
maana ukisha pata moja ya baridi unakuwa na hamu ya kiti moto.
Je niweke picha ipi?










 

Attachments

  • porchetta.jpg
    74 KB · Views: 49
kabandike mlangoni kwako watu wataona tu
 
kabandike mlangoni kwako watu wataona tu
Mi nataka nitangaze biashara jf nikiweka home wateja hawataona
Na fuata maujanja ya ndovu
 
asta kafir llah huyo mdudu mtamu jamani!! kha! ......cjui kwa kua anaenda bleed.
POPOBAWA.
 
tz1,

Wacha nikufanyie mpango wa mapumziko mafupi. Yaani umenileta mbio nikidhani una "DEAL" kumbe unaleta maudhi kwa "MS"
Maudhi?wakati nataka kutangaza biashara yangu ya kiti moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…