Msaada wa Tairi za BF Goodrich

Msaada wa Tairi za BF Goodrich

Wakuu salama? Nilikua natafuta tairi za BF Goodrich sasa nimepata za 2018 ila ni “Made in poland” original. Nimepambana sana kwa namba nayotaka ndo zimepata za 2018 nimezunguka sana.

Naombeni msaada na ushauri kabla sijalipia.

Na pia kama naweza pata dealers wa Tairi za BF Goodrich nitashukuru.
Navyojua mimi BF inatengenezwa USA
 
Back
Top Bottom