Nipo mbeyaUko wapi na unataka kua wakala wa kiwanda/cement gani?
Tembo cementUko wapi na unataka kua wakala wa kiwanda/cement gani?
Kweli aseeHuku stori za cement hatutaki /tunataka za Malaya wenye chura wa masaki
Ukipata jibu nishtue mkuu ata mm ninawazo hilo nipo MbyHabari! Nahitaji kuwa agent wa cement mwenye uelewa naomba anisaidie vitu vifuatavyo:
1.)mtaji wahitajika kiasi gani kwa wakala
2.)bei ya mfuko mmoja kwa kiwandani.
Akhasnte.
OkUkipata jibu nishtue mkuu ata mm ninawazo hilo nipo Mby