hazard... hii taa inamaana nyingi tofaut na watu wanavyodhan ukiwasha gar mbovu,, gar ya mbele ikiwasha hazard inamaana pia kuna watu wanavuka ..utulie,,,ama kuna shida mbele ama gar mbovu ama anayoosha/kuvuka barabara n.k
Hutakiwi kuwasha taa yeyote ile maana hakuna tendo la kuvunja sheria ama la dharura litakalo kufanya uwashe hazard so usiwashe taa yeyote ile unapo pita barabara yenye + kama unanyosha .
hazard... hii taa inamaana nyingi tofaut na watu wanavyodhan ukiwasha gar mbovu,, gar ya mbele ikiwasha hazard inamaana pia kuna watu wanavuka ..utulie,,,ama kuna shida mbele ama gar mbovu ama anayoosha/kuvuka barabara n.k
Pita/katiza moja kwa moja bila kuwasha taa yoyote...Dereva wa nyuma yako ataelewa kuwa unanyoosha..ili mradi tu usipindepinde na kuyumbayumba...kaa kwenye njia yako huku ukiangalia usalama pande zote
hazard... hii taa inamaana nyingi tofaut na watu wanavyodhan ukiwasha gar mbovu,, gar ya mbele ikiwasha hazard inamaana pia kuna watu wanavuka ..utulie,,,ama kuna shida mbele ama gar mbovu ama anayoosha/kuvuka barabara n.k
Ukiwasha hazard weng hatuelew ila unawez ukawachanganya maderev wa pande zote mbili anayetokea chin anawez akhc untk kukat kuja kwake maan taa y pil anawez asiione kutokn n upande anaotok n n vlevle kw anaetokea upande mwngne wa juu.......cha kuzngtia n kwamba unapofik njia panda ucwashe taa yyote ile bali wek gar lako katikat ya barbr hakikish wa nyum yako anawez kupit kirhc bil tabu,anglia usalam kam upo,kam upo then ur gud 2 go.