Msaada wa Subaru Forester au BMW 3 SERIES, X3

Crown ni six cylinders babaa ila kwenye kuchanganya mapema subaru ipo juu mno sidhani kama mtu wa crown anaweza kumwacha subaru foresta kiurahisi.
Kwa mfano Subaru WRX ST manual transmission na crown hapo mwenye crown atapata taabu sana

Moto wa WRX STI huyo crown na V6 yake anaachwa amesimama hata V8 pale inapigwa bao tu.

STI sio ya mchezo kabisaa tena ikiwa moded balaa lake sio la nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu una agiza spare part za magari pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crown ni six cylinders babaa ila kwenye kuchanganya mapema subaru ipo juu mno sidhani kama mtu wa crown anaweza kumwacha subaru foresta kiurahisi.
Kwa mfano Subaru WRX ST manual transmission na crown hapo mwenye crown atapata taabu sana
Linganisha na Subaru husika, amna inayogusa moto wa Crown. Labda hio engine iekewe ma turbo kama yote
 
Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.

Subaru ni all wether kaka hiyo engine mpaka uiue umefanya kaz

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
chukua Fozzy Sg9 (forester Sg9)
 
Iv wakuu mbona sijawaiona subaru forester manual 2004na zinginezo hapa tz zaidi ni fatilia naona kenya afu bai yake ni kubwa sana inafika 40m kama ipo manual yenye bai ndogo tupeane elimu nimmoja wapo naependa subaru pia nandoto ya kumiliki
 
Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Mafundi wamejaa kibao, na forestar ni gari ya kazi ukilinganisha na hizo alizotaja hapo (3 series na x3) vilevile spea za kumwaga na unapata kitu OG, na engine inatulia tu
 
Naanza kushawishika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…