mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Crown ni six cylinders babaa ila kwenye kuchanganya mapema subaru ipo juu mno sidhani kama mtu wa crown anaweza kumwacha subaru foresta kiurahisi.
Kwa mfano Subaru WRX ST manual transmission na crown hapo mwenye crown atapata taabu sana
Moto wa WRX STI huyo crown na V6 yake anaachwa amesimama hata V8 pale inapigwa bao tu.
STI sio ya mchezo kabisaa tena ikiwa moded balaa lake sio la nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app