Mmhh,Kama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Huyo jamaa naona hajui kabisa mambo ya magari toka lini subaru haina mafundi wa kuitengeza pia spare parts za subaru zipo nyingi kuanzia Dar hadi arusha zipo kibao tu..Mmhh,
Kaka, mbona mafundi wa subaru wapo wengi tu .?
Na ukizingatia sasa hivi, zimeingia kwa wingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli ,Huyo jamaa naona hajui kabisa mambo ya magari toka lini subaru haina mafundi wa kuitengeza pia spare parts za subaru zipo nyingi kuanzia Dar hadi arusha zipo kibao tu..
Subaru,Nissan,honda,Suzuki,Mitsubishi hawana spare za kubahatisha kama TOYOTA
Mkuu hivi hiyo forester third generation ina HP ngapi kiongozi?Kwakweli ,
Nahisi huwenda bado anamawazo/mtazamo wa kale kuhusu brand za magari nje ya Toyota.
Maana zamani, watu walikua na mtazamo, gari ni moja tu 'Toyota' nje ya Toyota hakuna gari.
Wakitumia vigezo vya namna hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru forester ya mwaka 2008(3 generation) ina HP ngapi boss?Huyo jamaa naona hajui kabisa mambo ya magari toka lini subaru haina mafundi wa kuitengeza pia spare parts za subaru zipo nyingi kuanzia Dar hadi arusha zipo kibao tu..
Subaru,Nissan,honda,Suzuki,Mitsubishi hawana spare za kubahatisha kama TOYOTA
Kwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.Subaru forester ya mwaka 2008(3 generation) ina HP ngapi boss?
Kwa yenye turbo na isiyokuwa na turbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.
Isipokuwa haya matoleo ya 08,09 na 10 yameongeza ukubwa wa ndani ni comfortable na imenyanyuliwa juu ili kukidhi soko la ulaya na marekani....
Kwangu mimi nayazimia sana matoleo ya zamani kuliko hili la kwenye pichaView attachment 1067420
173 @6000 rpm horsepower
Crown ni six cylinders babaa ila kwenye kuchanganya mapema subaru ipo juu mno sidhani kama mtu wa crown anaweza kumwacha subaru foresta kiurahisi.Asee sawa kumbe inamaana hii subaru hawezi fuata moto wa crown HP 220
Sent using Jamii Forums mobile app
Crown ni six cylinders babaa ila kwenye kuchanganya mapema subaru ipo juu mno sidhani kama mtu wa crown anaweza kumwacha subaru foresta kiurahisi.
Kwa mfano Subaru WRX ST manual transmission na crown hapo mwenye crown atapata taabu sana
Kuna jamaa wako biafra pale wazuriKama ni mm hapo sina chaguo kabisaaa yote ni Luxury Car hayo. Hakuna gari ya kazi hapo. Subaru Engine yake ikizingua huwa hairudi Kama Zamani. Pia Spare Zake zipo Juu sanaaa. Na KIBONGO BONGO Hakuna Mafundi Wazuri wa Subaru.
Chukua harrier matako ya nyani hayo magari mengine ni ya kibishoo hayawezi njia za vumbiOff-road ... nimemaanisha pia natumia kwenye barabara za vumbi ..
Huyu mnyama ni hatari nimewai kum drive ukikanyaga mafuta kidogo tu kama inataka kupaaa kiufupi wale wanaopenda ma mbio hii ndio yenyewe inakimbia kama mkukiKwa yenye turbo inafanana karibu kila kitu na matoleo ya subaru za zamani za kuanzia 2002,03,04,05,06, na 07.
Isipokuwa haya matoleo ya 08,09 na 10 yameongeza ukubwa wa ndani ni comfortable na imenyanyuliwa juu ili kukidhi soko la ulaya na marekani....
Kwangu mimi nayazimia sana matoleo ya zamani kuliko hili la kwenye pichaView attachment 1067420
Mnyama yupi??Huyu mnyama ni hatari nimewai kum drive ukikanyaga mafuta kidogo tu kama inataka kupaaa kiufupi wale wanaopenda ma mbio hii ndio yenyewe inakimbia kama mkuki
Kuna attachement kwenye ile comment mkuu
Subaru forester, ya 2006/8
Subaru forester, ya 2006/8
Ina around 270BHP
Bei yake ni kati ya 18.5m n.k
Unaweza kuagiza kupitia kampuni yetu kutoka kampuni yeyote ile uipendayo
kwa malipo ya awamu awamu ya hadi miezi 7
Unalipia, 13,875,000
Gari inaletwa, unakabidhiwa
4,625,000 unamalizia kwa instalment
Yaani kila mwezi
661,000
Bila riba.
Instalment zinaanza mwezi mmoja baada ya kukabidhiwa gari lako.
Karibu
Subaru , haswa forester hii, inasifa moja ya kuhimili sana haswa njia za vumbi na off road.Chukua harrier matako ya nyani hayo magari mengine ni ya kibishoo hayawezi njia za vumbi
Subaru anahofia wese matako ya nyani umeme mwingiSubaru , haswa forester hii, inasifa moja ya kuhimili sana haswa njia za vumbi na off road.
Ipo kwenye orodha ya gari tano zinazohimili off road ikiwemo surf (Toyota)