Msaada wa Solar System

Msaada wa Solar System

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Habari wana jamvi.Jamani nina uza TV ya Solar flat screen, Solar panel watts 100, Betri ya N 100 na Inventor. bado vipo kwenye khali nzuri.nauza kwasababu nimepata umeme.hivyo sivihitaji tena.Ukinunua unapata na taa za solar 10 bure.
wasiliana kwa 0717-706259
 
Kwa nini usipeleke hili tangazo jukwaa la matangazo madogo? Tafadhali Invisible saidia hapa.
 
Last edited by a moderator:
Tv ya Solar kaka watts 30 tu.ukiweka kwenye umeme wa kawaida haiwaki.
 
Sijaona Charger Control hapo, Battery ilikuwa inacharge moja kwa moja kutoka kwa pannel?

Inverter ni aina gani?
 
The Solar system

The Solar System[a] comprises the Sun and the objects that orbit it, whether they orbit it directly or by orbiting other objects that orbit it directly. Of those objects that orbit the Sun directly, the largest eight are the planets[c] that form the planetary system around it, while the remainder are significantly smaller objects, such as dwarf planets and small Solar System bodies (SSSBs) such as comets and asteroids
 
Kongosho acha maneno mengi.kwanza wewe si mnunuaji.usinichafulie uzi wangu.
 
Alafu ukiona hiyo Charge Control itakuwaje?wewe si mnunuzi kaa kimya.
 
Unauza sh ngapi vyote?

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Unauza sh ngapi vyote?

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums

Hajui anauza sh ngapi huyu, kazi kuponda wateja watarajiwa.

Sent from my Nokia N1280 using JamiiForums
 
Bebeee kanigini acha uzushi wako hapa aliepondwa hapa nani?Mie nimekupa offer sema una sh ngapi wajing'ata ng'ata tu.Unapewa offer ya kutaja bei unashindwa sema upewe vifaa.
 
Sijataja bei makusudi.ndo maana nimeweka namba yes sijui ntauza sh ngapi mie nakusikiliza una sh ngapi nakupa wewe mteja ndo utasema usaidiwe uuziwe kwa Tsh ngapi.Mteja mwenye uhitaji tu.Mie natoa offer tu maana najua shida ya giza na ninalichukia giza.
 
Inverter, Betri na Solar panel nikupe laki 3. (Bila TV)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom