Msaada wa soko la mbao

Msaada wa soko la mbao

kundeyekete

New Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Habari za leo.
Nina kampuni yangu ndogo ya kuchana mbao lakini tatizo ni soko la uhakika wa bidhaa yangu...miti inayopatikana ni teak, mvule, mwembe, msederea, mpopota.
kwa mtu yeyote anayehitaji basi anijulishe...mimi napatikana Muheza-Tanga
 
Habari za leo,nina kampuni yangu ndogo ya kuchana mbao lakini tatizo ni soko la uhakika wa bidhaa yangu...miti inayopatikana ni teak,mvule,mwembe,msederea,mpopota.kwa mtu yeyote anayehitaji basi anijulishe...mimi napatikana Muheza-Tanga

Mkuu naamini mbao ni moja ya bidhaa hadimu sana hapa nchini...naamini utapata soko...ww punguza bei kdg ili uhimili ushindani. Ngoja wahusika waje
 
Back
Top Bottom