Inatatizo gani hadi uiflash.?Poleni na majukumu mazito mnayokabiliana nayo. Naomba msaada wa software kwa ajili ya kuflash simu tajwa hapo juu. Kuformat kwa njia ya kawaida imeshindikana , naona njia nzuri ni kutumia computer. Ahsanteni.
Inatatizo gani hadi uiflash.?
Inatatizo gani hadi uiflash.?
Tatizo lake inawaka lakini haindelei, ianatokea alama ya android na mshangao.