Msaada wa software inayoweza ku play android apps kwenye windows

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,469
2,000
Habar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya kijamii kama whatsapp n.k. ni siku chache toka simu ipasuke ila najihisi kama yatima aisee. Ninatafuta software ya kuweza ku run android apps haswa whatsapp, mwanzoni nilikuwaga natumia bluestacks app player enzi za windows 7 ikawaga freshi ila nimeijaribu install kwenye windows 10 inagoma ku start kabisa! Anaejua software mbadala wa blue stacks anipe shavu kama vipi!
 
IT Guru

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
639
250
Pole ndugu.
kuna alternatives mbali mbali. unaweza kuanza na Genymotion. iko vizuri na nadhan ni stable na ina features nyingi zaidi ya bluestacks.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,469
2,000
Pole ndugu.
kuna alternatives mbali mbali. unaweza kuanza na Genymotion. iko vizuri na nadhan ni stable na ina features nyingi zaidi ya bluestacks.
Hio Genymotion ilidai niweke virtual box nikaweka, dissapointingly ikataka ilipiwe kwanza ili niweze kuitumia, imenishinda hapo mkuu!
 
Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
16,603
2,000
Pole ndugu.
kuna alternatives mbali mbali. unaweza kuanza na Genymotion. iko vizuri na nadhan ni stable na ina features nyingi zaidi ya bluestacks.
mkuu sanahani mimi nilikuwa naukiza hivi je kuna uwezekano wa kubadili simu ya nokia asha ambayo inatumia mfumo wa Window iwe inakubali kutumia Android?
 
BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
566
500
mkuu sanahani mimi nilikuwa naukiza hivi je kuna uwezekano wa kubadili simu ya nokia asha ambayo inatumia mfumo wa Window iwe inakubali kutumia Android?
1. Hakuna Windows phone ambayo ipo kwenye Asha series.
2. Kuna Lumia chache tu ambazo zimefanikishwa kurun android, ingawa performance inakuwa siyo nzuri sana na battery life inaweza kuwa low zaidi, kutokana na Lumias zilikuwa optimized ku run windows phone OS kwa kiwango husika cha battery kutoka kiwandani.
 
psagala1

Senior Member
Feb 18, 2014
156
225
1. Hakuna Windows phone ambayo ipo kwenye Asha series.
2. Kuna Lumia chache tu ambazo zimefanikishwa kurun android, ingawa performance inakuwa siyo nzuri sana na battery life inaweza kuwa low zaidi, kutokana na Lumias zilikuwa optimized ku run windows phone OS kwa kiwango husika cha battery kutoka kiwandani.
Mi nna huawei inatumia windows os naweza iweka android os?
 
Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,583
2,000
Habar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya kijamii kama whatsapp n.k. ni siku chache toka simu ipasuke ila najihisi kama yatima aisee. Ninatafuta software ya kuweza ku run android apps haswa whatsapp, mwanzoni nilikuwaga natumia bluestacks app player enzi za windows 7 ikawaga freshi ila nimeijaribu install kwenye windows 10 inagoma ku start kabisa! Anaejua software mbadala wa blue stacks anipe shavu kama vipi!
Tumia Nox player,iko simple and smooth.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,757
2,000
Habar wadau,
Imekuwa bahati mbaya kwangu weekend iliopita nimevunja screen ya simu yangu halafu spea imekuwa mtihani kupata. Kama tunavyojua raha ya smartphone iko kwenye mengi hasa mitandao ya kijamii kama whatsapp n.k. ni siku chache toka simu ipasuke ila najihisi kama yatima aisee. Ninatafuta software ya kuweza ku run android apps haswa whatsapp, mwanzoni nilikuwaga natumia bluestacks app player enzi za windows 7 ikawaga freshi ila nimeijaribu install kwenye windows 10 inagoma ku start kabisa! Anaejua software mbadala wa blue stacks anipe shavu kama vipi!
kama walivyosema wadau hapo juu nox player ipo vizuri kwa sasa, pia nyengine hizi
-momo app player ya kikorea
Download Momo App Player for PC / Windows 10 , 7 & 8.1 [English Version] | TechApple
-droid4x ambayo ni very simple
-remix os player kama unataka android ilio optimized kwa pc (start menu, multi windows etc)

pia unaweza run android app kwenye chrome kutumia archon addons sema ni complicated kidogo
 
Son.j

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
671
1,000
Remix os au phonex os,
ni operating system kama vile windows, unaweza ku boot na windows kw pamoja (Dual boot)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom