Msaada wa SOFTWARE/EXCEL TEMPLATE

Msaada wa SOFTWARE/EXCEL TEMPLATE

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,944
Reaction score
1,504
Habari! Wakuu napenda niende moja kwa moja kwenye shida yangu.

Kwa ufupi tu Kuna NGO ndogo ina member kama si chini ya 11 hivi moja kazi zake ni kujihusisha zaidi na matatizo ya jamii na kujiweka karibu na jamii hasa kwa hii sehemu inapopatikana,sasa nimekuja hapa kuomba msaada kwa wale wemye uzoefu au expert wa haya mambo katika swala zima ni SOFTWATE gani zaidi tunaweza tumia katika maswala ya financial na transaction mbali mbali katika NGO hii maana ndo kwanza inaanza au kama mtu ana sample ya Template ya EXCEL ya hii kitu kwa pande zote Budgeting, Operating, reporting,Income and Expenditure itakuwa vizuri zaidi. Ahsanteh
 
unaweza pia ukajaribu kusearch kuhusu ERP Softwares.
kuna zinazouzwa na kuna zingine ni Open source.
kuna za online na kuna za offline.
personally tunatumia ERPNext kwenye NGO yetu. ni nzuri sana itahandle kila ulichokitaja na zaidi
 
unaweza pia ukajaribu kusearch kuhusu ERP Softwares.
kuna zinazouzwa na kuna zingine ni Open source.
kuna za online na kuna za offline.
personally tunatumia ERPNext kwenye NGO yetu. ni nzuri sana itahandle kila ulichokitaja na zaidi
Dah Ahsanteh mkuu check pm Mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom