Wadau wa IT.
Tupo katika mchakato wa kutengeneza software application (web based application), itakayowezesha customers wetu kutazama financial reports mbalimbali kama vile Stocks, n.k
Baadhi ya features muhimu ni kama vile Charts, Bar graphs, Line graph, n.k zinazoonesha financial information.
Basic features ni kama vile user friendly navigation menus, tips, notes, ads, login , register, reviews, send email, n.k
Pia tungependa kuwe na technolojia au framework inayo offer transactions, security services, nk (kwa mfano tukitumia EJB tuna uhakika wa kupata Transaction Management & Security services)
Tuna omba wadau mtupe ushauri wa technoljia ambazo zitakuwa nzuri katika kufanikisha project hii.
Tunapenda tuwe na thin client , middle layer na back end servers. Tunaona hii architectural model itafaa zaidi katika hii project.
Vigezo vya uzuri wa technoljia vizingatie yafuatayo:-
1. Performance
2. System development speed (tungependa teknolojia ambayo itakuwa fast zaidi kwa developers wetu kufanya kazi zao )
3. Portability (Iweze kufanya kazi katika environment tofauti)
4. Durability (iwe durable)
5. Maintainability (Iwe rahisi ku maintain kwasababu changes ni constant katika software world)
6. Compatibility (Iwe fanya kazi ktk different devices )
7. Usability
8. Applicability
9. Cost (Cost siyo issue sana kwasbabu kizuri ni gharama na kampuni lina mshiko wa kutosha kwa hii project)
10. Testability (iwe rahisi ku test au kuwe na uwezo wa benchmark au framework ya kufanya testing kirahisi)
Maoni yanakaribishwa.