Jamani naombeni kujua ukweli wa hili jambo.
Simu yangu samsung ilikuwa na version 5.2.1 sasa basi nikiwa ktk kubonyeza nikatembelea kwenye android version, nilipoikilick kkaomna update,nikafanya hvyo.
Ilipomaliza update ikataka upgrade ikafanya hvyo mpaka mwisho ikajizma na kujiwasha.
Niliporudu kwenye android version nikakuta 6.0.1 yaan imeongezeka kiukweli nainjoi sana namna ambavo imekuwa laini.
Mbali zaidi hata muonekano wa programs umebadilika tofauti na mwanzo.
Je kilichofanyika kwenye hii simu yangu kuna mwenye ufahamu anambie. Maana mm najua simu haiwez kujiugrade yenyewe.