Msaada wa simu ya sumsung inayotunza charge.

ugido

JF-Expert Member
May 29, 2014
421
104
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo nikuuzie s7 edge 450 tu haina punguzo la bei...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*OFA OFA OFA *
IPHONE 5s
16Gb
Brand new
Brand new accesories
300k
All colours

Samsung A7 (2015)
Brand new
Brand new accesories
320k
All colors

Samsung galaxy J7(2015)
Brand new
Brand new accesories
All colors
320k

Call 0716119347

Free delivery

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera

Sent using Jamii Forums mobile app
C7 and C7 pro pia C9 pro zinatunza sana

Note 5 kwa upande wa note series ndio inatunza zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera

Sent using Jamii Forums mobile app
S6 edge + ni nzuri hata s7 pia ni nzuri hamna samsung mbaya kila moja ni nzuri kwa price yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samsung A9 pro ni nzuri sana kwa kutunza chaji,ila kwa Budget yako hiyo utaishia kuiona kwa macho tu.
 
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime nimeichoka lkn ni nzima na inatunza moto vizuri tu, sasa naomba mwrnyekujua simu inayotunza moto hasa series za s, mfano sumsung galax s6 edge plus naipenda siries hizo ipi bora kwa charge na camera

Sent using Jamii Forums mobile app
ssmsung j6+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom