Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Habari wana JF.
Awali nilikuwa natumia Tecno N3 nikaiuza, then nikanunua Tecno P3, nayo nimeiuza kwavile zote zimeshindwa kukidhi mahitaji yangu kutokana na matumizi yangu hususani kwenye MEMORY, RAM, CAMERA etc. Na sasa natumia Tecno 209 wakati ninatafakari ni simu gani ninunue.
Nilifikiria kununua TECNO N7, lakini nimeona wadau wengi wameitia kasoro hususani kwenye upande wa RAM, PROCESSOR etc.
Naomba Msaada wenu ndugu zangu; Simu gani nzuri, Bora na Imara ninunue yenye sifa angalau kuanzia 1GB RAM, 1.2GHz PROCESSOR, 4GB INTERNAL MEMORY, 5.0MP CAMERA, etc.
Mkinielekeza duka na Bei kwa Dar Es Salaam na Morogoro mtanisaidia sana.
Mimi nipo Ifakara, Morogoro.
Nawasilisha.