Msaada wa Sim banking

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,046
Naomba kujua security ya fedha za mteja kwa SIM banking ikoje. For example, TCB popote unaweza kuhamisha fedha toka akaunti yako, kukopa salary advance, pension advance and many other operations.

Je, usalama wa matumizi haya kwa fedha za mteja ukoje? Juzi NMB kuna mteja alikuta hela zake zimechukuliwa. NMB wanaleta upuuzi mara oh labda ulimpa mtu kadi yako, mara hacking etc etc. wakati fedha za mteja ziko kwenye dhamana yao.

Is it safe kutumia service hizo?
 
Back
Top Bottom