Ndugu zangu naja tena kwa mara nyingine,nikiwa na hoja yangu ileile ya kupewa Mawazo ya kama ni sahihi au la!
Kufungua MIRATHI ya mwanamke aliyeolewa na ndoa inatambulika kisheria.Tatizo ni kuwa mume na mke wote kwasasa ni MAREHEMU.Mume alikuwa na wake WAWILI na kila mmoja alimjengea nyumba yake inayojitegemea.
mmoja wa wake za mume yungali hai na anayo nyumba yake na watoto wake,
Huyu mke aliyefariki alikuwa ni Mwajiriwa na alizaa mtoto mmoja pekee,pia kuna baadhi ya mali amepata baada ya mumewe kufariki.
Maazimio ya familia ya mume ni kumpa mtoto wa huyu mama URITHI wote unaoangukia upande wa mama yake mzazi.
Je, nisahihi?
Kwa sasa tunasubiri kwenda MAHAKAMANI kumthibitisha Msimamizi wa Mirathi ya huyu mama.Chonde chonde kwa yeyote mwenye ujuzi wa masuala haya tafadhali nipe Msaada.
Nilidhani msimamizi wa mirathi lazima awe mmoja wa beneficiaries, na si ndugu yeyote yeyote tu ambae "anaaminika." Nisahihishe ninapokosea tafadhali.pamoja na mtu mwingine katika familia ambaye huyo mtoto anamuamini ili kwa pamoja wawe wasimamizi wa mirathi
.
Nilidhani msimamizi wa mirathi lazima awe mmoja wa beneficiaries, na si ndugu yeyote yeyote tu ambae "anaaminika." Nisahihishe ninapokosea tafadhali.
Sawa ndugu, ahsante.Sio lazima msimamizi wa mirathi awe one of the beneficiaries. kinachotakiwa ni mtu muaminifu atakaye simamia pamoja na atakayegawa mali za marehemu kwa uaminifu bila kuwadhulumu beneficiaries. Nadhani watunga sheria waliona mbali.
Habari ndugu, ngoja nimsaidie uyo jamaa, yeye atakuja kujibu maadam nimeliona swali ninaloweza kulijibu, ngojan ilijibu.Sawa ndugu, ahsante.
Kwa hiyo unasema si lazima msimamizi wa mirathi awe mmoja wa beneficiaries. Hebu tusaidiane kutafsiri hiki kifungu cha sheria hapa:
CAP 352, Section 33
THE PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES ACT
Letters of administration on intestacy
(1) Where the deceased has died intestate, letters of administration of his estate may be granted to any person who, according to the rules for the distribution of the estate of an intestate applicable in the case of such deceased, would be entitled to the whole or any part of such deceased's estate.
Maana yake nini?
Okay, ahsante sana. Kwa hiyo katika hali halisi jitu ambalo haliwezi kurithi chochote haliwezi kujitokeza kudai lenyewe ndio lipewe letters of administrations.hata hivyo, ni nadra na haijawahi kutokea, kwa mtu ambaye hana maslahi kabisa na mirathi ya marehemu akaomba kuteuliwa kuwa msimamizi....
maswali yako yana mantiki sana na inaonekana unao uelewa mzuri katika jambo hili. nafikiri hakuna idadi halisi ambayo imetajwa kisheria kwamba member kadhaa wanatakiwa kuwepo kwenye kikao na kuorodhesha majina na sahihi zao kuwa wamemteua mtu fulani aende akathibitishwe/akateuliwe na mahakama kama administrator. mawazo yangu nafikiri wanaukoo hawawezi kukaa kisirisiri kufanya jambo hilo na kama wakifanya hivyo, wale ambao hawakuhusishwa wanayo nafasi kupinga kwenye zile siku 90 za tangazo kabla ya kumteua masimamizi. msimamizi hatakiwi kufanya mambo kisirisiri au kwenda kuteuliwa kisirisiri, na bila shaka mle kwenye kikao cha wanandugu/wanaukoo lazima watakuwepo na warithi halali kuhudhuria, sidhani kama ni rahisi sana kwa watu kulaghai katika hili wakati mambo yote yanatakiwa yawe wazi na zipo siku 90 za tangazo na watu kuweka pingamizi pale ambapo wanaona kuna jambo halikwenda sawa.Okay, ahsante sana. Kwa hiyo katika hali halisi jitu ambalo haliwezi kurithi chochote haliwezi kujitokeza kudai lenyewe ndio lipewe letters of administrations.
Na kuna angle nyingine ya swala hili. Ukienda mahakamani au kwa mwanasheria kufungua shauri la mirathi cha kwanza watakachokuuliza ni kikao cha familia kimekaa? Kwa hiyo ni muhimu sana sana kukawa na rekodi za kikao hicho, na chenye saini ya mwenyekiti na wajumbe.
Swali ni je, akidi ya kikao cha familia ni nini?
In other words, members wangapi wa familia au nani na nani lazima wawepo ili kiitwe kikao cha familia? Nadhani tumewahi kusikia au kuwa wahusika wa misiba ambayo kuna pande kama tatu hivi halafu kila kikundi kimefanya kikao chao, ushawahi sikia hiyo? Na kuna kesi ambapo mjomba mmoja anajitokeza baadae kusema mimi sikuwepo kwenye kikao maana sikufahamishwa, wakati hata angekuwepo hana haki ya kuchaguliwa kuwa msimamizi, manake beneficiaries wapo.
Sasa, mtoto mmoja mtu mzima wa marehemu ambae hana ndugu, akikaa na mama yake wakasema sisi wawili ndio kikao cha familia na tumeona mama awe msimamizi wa mirathi. Akidi imetimia? Ikipingwa na wajomba itapita?
Sawa ndugu, ahsante.
Kwa hiyo unasema si lazima msimamizi wa mirathi awe mmoja wa beneficiaries. Hebu tusaidiane kutafsiri hiki kifungu cha sheria hapa:
CAP 352, Section 33
THE PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES ACT
Letters of administration on intestacy
(1) Where the deceased has died intestate, letters of administration of his estate may be granted to any person who, according to the rules for the distribution of the estate of an intestate applicable in the case of such deceased, would be entitled to the whole or any part of such deceased's estate.
Maana yake nini?
Okay, ahsante sana. Kwa hiyo katika hali halisi jitu ambalo haliwezi kurithi chochote haliwezi kujitokeza kudai lenyewe ndio lipewe letters of administrations.
Na kuna angle nyingine ya swala hili. Ukienda mahakamani au kwa mwanasheria kufungua shauri la mirathi cha kwanza watakachokuuliza ni kikao cha familia kimekaa? Kwa hiyo ni muhimu sana sana kukawa na rekodi za kikao hicho, na chenye saini ya mwenyekiti na wajumbe.
Swali ni je, akidi ya kikao cha familia ni nini?
In other words, members wangapi wa familia au nani na nani lazima wawepo ili kiitwe kikao cha familia? Nadhani tumewahi kusikia au kuwa wahusika wa misiba ambayo kuna pande kama tatu hivi halafu kila kikundi kimefanya kikao chao, ushawahi sikia hiyo? Na kuna kesi ambapo mjomba mmoja anajitokeza baadae kusema mimi sikuwepo kwenye kikao maana sikufahamishwa, wakati hata angekuwepo hana haki ya kuchaguliwa kuwa msimamizi, manake beneficiaries wapo.
Sasa, mtoto mmoja mtu mzima wa marehemu ambae hana ndugu, akikaa na mama yake wakasema sisi wawili ndio kikao cha familia na tumeona mama awe msimamizi wa mirathi. Akidi imetimia? Ikipingwa na wajomba itapita?
maswali yako yana mantiki sana na inaonekana unao uelewa mzuri katika jambo hili. nafikiri hakuna idadi halisi ambayo imetajwa kisheria kwamba member kadhaa wanatakiwa kuwepo kwenye kikao na kuorodhesha majina na sahihi zao kuwa wamemteua mtu fulani aende akathibitishwe/akateuliwe na mahakama kama administrator. mawazo yangu nafikiri wanaukoo hawawezi kukaa kisirisiri kufanya jambo hilo na kama wakifanya hivyo, wale ambao hawakuhusishwa wanayo nafasi kupinga kwenye zile siku 90 za tangazo kabla ya kumteua masimamizi. msimamizi hatakiwi kufanya mambo kisirisiri au kwenda kuteuliwa kisirisiri, na bila shaka mle kwenye kikao cha wanandugu/wanaukoo lazima watakuwepo na warithi halali kuhudhuria, sidhani kama ni rahisi sana kwa watu kulaghai katika hili wakati mambo yote yanatakiwa yawe wazi na zipo siku 90 za tangazo na watu kuweka pingamizi pale ambapo wanaona kuna jambo halikwenda sawa.
View attachment 98436
View attachment 98436
View attachment 98440View attachment 98439View attachment 98438
Sasa huo utakuwa ukoo wa marehemu, sio ukoo wa familia ya marehemu. Kwa nini mama awe peke yake pasipo ndugu zake kwenye hicho kikao? Huoni kwamba hao ma baba wadogo wanaweza wakamzidi sauti kwenye kikao ambacho mwisho wa siku ni Mke/mjane ndio anatakiwa apewe asilimia kubwa ya urithi kisheria?Mfano hapo uliposema kuhusu wajomba kwa uelewa wangu wajomba ni ndugu wa mama sasa kama aliyefariki ni mume wa mama kikao cha ukoo kinamaanisha ndugu wa baba(ambaye ndie marehemu)mke wa marehemu na watoto wa marehemu, wajomba hawana nafasi.
Kuhusu Akidi ya kikao cha ukoo inategemea na ukoo wenu ni mkubwa kiasi gani pia na mila na desturi za kila kabila kuna utaratibu wa akina nani wanaruhusiwa kuhudhuria vikao vya kifamilia/ukoo vinavyotoa maamuzi mazito.
Eti hawawezi kukaa kisiri siri?... nafikiri wanaukoo hawawezi kukaa kisirisiri kufanya jambo hilo .....msimamizi hatakiwi kufanya mambo kisirisiri au kwenda kuteuliwa kisirisiri,... sidhani kama ni rahisi sana kwa watu kulaghai katika hili wakati mambo yote yanatakiwa yawe wazi
Sasa huo utakuwa ukoo wa marehemu, sio ukoo wa familia ya marehemu. Kwa nini mama awe peke yake pasipo ndugu zake kwenye hicho kikao? Huoni kwamba hao ma baba wadogo wanaweza wakamzidi sauti kwenye kikao ambacho mwisho wa siku ni Mke/mjane ndio anatakiwa apewe asilimia kubwa ya urithi kisheria?
Huhusu utaratibu wa kimila, mimi nataka sheria zilizoandikwa, sio u-mila mila. You know why? Because sheria za kimila zinasema mtu akifa basi mdogo wake marehemu atamrithi mjane na watoto wake na mali zake, ushasikia hiyo? Total nonsense. Ndo maana tunaenda mahakamani kutafuta sheria zinazo make sense!
Na kama ni mila basi ziwekwe vitabuni tuzijue. What if mke mpogolo mume mdengeleko, mila gani zinafuatwa? What if hakuna huyo so called "mwenyekiti wa ukoo"? What if upande wa mjane wana Mwenyekiti wa ukoo na upande wa marehemu wana Mwenyekiti wao wa ukoo wao, nani ana haki ya kuitisha na kuendesha kikao cha ukoo? What if baba mdogo akakataa kikao cha mjomba (kaka wa mjane) ambae let's say ndio "mwenyekiti wa ukoo" wa mjane, akasema huyo mjomba mimi sio mwenyekiti wa ukoo wangu, hana jurisdiction ya kuniita kwenye kikao, nasubiri chetu. Sheria isemeje?
Eti hawawezi kukaa kisiri siri?
Unayachukulia mambo ya family disputes kirahisi rahisi mno. Tunapoongelea mashauri ya mahakamani na sheria na kadhalika maana yake kuna kutofautiana, kuna beef, mzozo, ugomvi, vita!
We hujayaona haya kwenye misiba, watu wanagombea maiti kuzika, itakuwa mali za marehemu?
Sio lazima wakae kisiri siri, wanaweza wakakaa wazi wazi lakini unilaterally and separately, in other words kuna misiba miwili miwili na vikao viwili viwili, hujawahi ona hiyo? Usichukulie kwamba ndugu watatoa ushirikiano kirahisi rahisi tu, ndio maana tunaongelea sheria hapa.
sidhani kama nachukulia mambo kirahisirahisi, na pia hapa hatupo vitani, tunatakiwa kujadili kwa hoja sio nguvu za maneno. kama unasema wanaweza wakakaa waziwazi lakini unilaterally au seprarately au wakawa na ugomvi na kutoelewana kwa namna yeyote ndio maana mahakama ipo, na kwa kawaida hata huu ugawaji wa mirathi wakati mwingine mahakama inaweza isihusishwe kama hakuna ugomvi kati ya ndugu na warithi, ila panapotokea kuwa kutokuelewana kunanukia au kuna manungu'uniko au kutokurithikwa kwa yeyote hapo mahakamani unatakiwa kukimbilia ili mirathi igawanywe kisheria. kwanini tunaenda mahakamani? ili msimamizi akateuliwe na mahakama, na kama msimamizi hayupo au inaonekana kati ya ndugu au watu wenye interest na mirathi hawapo au hawaaminiki, administrator general (kabidhi wasihi mkuu) au mtu yeyote yule ambaye mahakama inamuona anafaa anaweza kuteuliwa etc. nimeandika msg hii nikiwa na haraka sana, nitajaribu kukaa badae nieleweshe vizuri.Sasa huo utakuwa ukoo wa marehemu, sio ukoo wa familia ya marehemu. Kwa nini mama awe peke yake pasipo ndugu zake kwenye hicho kikao? Huoni kwamba hao ma baba wadogo wanaweza wakamzidi sauti kwenye kikao ambacho mwisho wa siku ni Mke/mjane ndio anatakiwa apewe asilimia kubwa ya urithi kisheria?