Msaada wa sheria kuna watu nawadai pesa

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Kuna watu nawadai pesa niliwakopesha wananizungusha karibia mwaka nataka niwafungulie mashitaka mahakamani naombeni msaada wenu wanasheria ili niweze kupata pesa zangu utaratibu upoje wa kufungua kesi karibuni
 
Procedures...
(i)Demand Notice- unamtumia maelezo juu ya ww kumdai na kuhitaji kulipwa na kama hatoweza kufanya hivo basii utaipeleka case mahakamani.
Note;
Kama amekataa kutii basii fuata the procedure below
(ii) Fungua jalada la mashitaka utahitajika copy ya procedure namba(i)
(iii)utasikilizwa na mahakama juu ya dai lako kama hakuna any malice ama unfair facts in your case
(iii)utapewa procedure za kuandaa document inaitwa "Plaint" na kuulizwa details za mshtakiwa kama eg age, place of living, religion, phone number kama ipo etc
(iv) ataitwa na mahakama inaweza kuwa by summons to appear ama summons to file a WSD(written statement of defence)
(v) mtaambiwa muandae documents zote za kujitetea ikiwemo mashahidi na any legal document inayoweza ku support your litigation
(vi) Mtapangiwa lini case ianze kusikilizwa yaani "Preliminary Hearing"
Note;
Na vingine katika procedure unaweza ukaambiwa ufanye kama kuna place nliacha but hivo ni mandatory as per the CIVIL PROCEDURE CODE on Institution of a Civil case MOREOVER kama unamu hire Advocate wewe utamuandalia ushahidi na mashahidi then hizo procedure yeye ndo atazifanya as your SOLICITOR.

Sent from my GT-N7105 using JamiiForums mobile app
 
kuna gharama za ufunguaji kesi?
 
Sasa miraba minne yako ya nini piga makofi hao alafu waambie warudishe pesa baada ya siku tatu (joking )
 
Ndio garama zipo mkuu.Sema huwezi kupata ushauri wa mwanzoni kwani maelezo yako hayjitoshelezi ili kuweza kushauriwa katika taratibu stahiki mkuu
 
Back
Top Bottom