Msaada wa settings kwenye WhatsApp

Nyanda lunduma

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
138
Likes
48
Points
45
Age
26
Nyanda lunduma

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined Apr 10, 2015
138 48 45
Naombeni msaada kwenye wasapu nawezaje kuweka apps yeyote kwenye wasapu yangu ili kwa mtu aliyetuma meseji kwangu isionyeshe Kama nishaifungua meseji yake (yani isionye zile tick mbili za rangi ya blue) msaada kwenu.
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
6,892
Likes
8,045
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
6,892 8,045 280
Unaelewa maana ya apps lakini,nadhani umemaanisha setings.Nenda kwenye SETINGS>ACOUNTS-PRIVACY.kisha shuka chini kabisa utaona sehemu imeandikwa READ RECEIPTS mbele utaona kiboksi kimewekwa pata.bonyeza pata itoke hapo utakuwa ushamaliza. fuata kama nlivyokuelekeza hapo ukishindwa hapo basi tafuta mganga.
 
muhamar Gadaf

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Messages
633
Likes
472
Points
80
muhamar Gadaf

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2017
633 472 80
Mbona siku hizi watsapp wameboresha sana

Ingia whatsaap setting >>>>>>>account. >>>>> private. >>>> kwa chini kabisa utaona sehemu imeandikwa. Read receipt

Kuna kibox pale ....bonfa

Hapo ,
Utakuwa tayari
 
sirnicho

sirnicho

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
16
Likes
5
Points
5
sirnicho

sirnicho

Member
Joined Oct 3, 2017
16 5 5
Mbona siku hizi watsapp wameboresha sana

Ingia whatsaap setting >>>>>>>account. >>>>> private. >>>> kwa chini kabisa utaona sehemu imeandikwa. Read receipt

Kuna kibox pale ....bonfa

Hapo ,
Utakuwa tayari
If you do this, you will not be able to see read receipts from your friends either, so you won't know whether they have read your messages-Tit for Tat
 
sirnicho

sirnicho

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
16
Likes
5
Points
5
sirnicho

sirnicho

Member
Joined Oct 3, 2017
16 5 5
Unaelewa maana ya apps lakini,nadhani umemaanisha setings.Nenda kwenye SETINGS>ACOUNTS-PRIVACY.kisha shuka chini kabisa utaona sehemu imeandikwa READ RECEIPTS mbele utaona kiboksi kimewekwa pata.bonyeza pata itoke hapo utakuwa ushamaliza. fuata kama nlivyokuelekeza hapo ukishindwa hapo basi tafuta mganga.
Note: This won't disable the read receipts for group chats or play receipts for voice messages. There's no way to turn these settings off.
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
6,892
Likes
8,045
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
6,892 8,045 280
Note: This won't disable the read receipts for group chats or play receipts for voice messages. There's no way to turn these settings off.
Siumeelewa lkn.kwenye magrupu zitabaki
 
Forum statistics

Threads 1,237,865
Members 475,739
Posts 29,303,863