Msaada wa sehemu ya kuprint vitabu

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Habari wanajukwaa
Nina soft copy ya vitabu kadhaa vya taaluma yangu naomba kuuliza sehemu ambayo naweza print baadhi ya hivyo vitabu niwe na hard copy na gharama yake pia kwa Dsm....Nawasilisha kwa msaada
 
Njoo pm nikupe namb ya wataalum wa kazi hizo
 
Habari wanajukwaa
Nina soft copy ya vitabu kadhaa vya taaluma yangu naomba kuuliza sehemu ambayo naweza print baadhi ya hivyo vitabu niwe na hard copy na gharama yake pia kwa Dsm....Nawasilisha kwa msaada
Kila mchapishaji ana uga wake maalumu kwa mfano mkuki na nyota pale posta wanafanya sana vitabu vya sheria na vya kiada (vinavyotumika mashuleni)
Kama ni vya kidini yapo mashirika bobezi katika uga huo
Ila kama wewe ni mwanafunzi hususan wa chuo tumia walimu kujua wao huchapa wap.
Kwa mfano udsm ilikuwepo dar es salaam university press (DUP) na pia Taasisi ya taaluma za kiswahili (TATAKI) inayochapisha vitabu kwa mwamvuli wa TUKI
 
Kama uko Dsm nenda mabibo hostel utaprint kwa bei nafuu
Mkuu mabibo wataprint kama kitabu au kama kitini cha kawaida.....na je gharama yake ipoje kama unafahamu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…