D Dannycage Senior Member Joined Oct 25, 2010 Posts 104 Reaction score 36 May 25, 2011 #1 Habari Wanajamii wenzangu,naombeni msaada wa security code Nokia X3-02,nimejaribu kuweka default ya 12345 ila imekataa na simu yenyewe ni mpya,msaada tafadhali.
Habari Wanajamii wenzangu,naombeni msaada wa security code Nokia X3-02,nimejaribu kuweka default ya 12345 ila imekataa na simu yenyewe ni mpya,msaada tafadhali.
Wambandwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 2,249 Reaction score 833 May 25, 2011 #2 Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu? Yangu imepotea karibuni na nina RB
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 May 25, 2011 #3 Wambandwa said: Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu? Yangu imepotea karibuni na nina RB Click to expand... Itakuwa ni yako tu. Ifanye kama sadaka na umpatie mwenzio hiyo code, Mungu atakulipa nyengine inshallah!
Wambandwa said: Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu? Yangu imepotea karibuni na nina RB Click to expand... Itakuwa ni yako tu. Ifanye kama sadaka na umpatie mwenzio hiyo code, Mungu atakulipa nyengine inshallah!
D Dannycage Senior Member Joined Oct 25, 2010 Posts 104 Reaction score 36 May 25, 2011 Thread starter #4 Mpya nimenunua dukani,nina kila kitu.
D Dannycage Senior Member Joined Oct 25, 2010 Posts 104 Reaction score 36 May 25, 2011 Thread starter #5 Wambandwa said: Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu? Yangu imepotea karibuni na nina RB Click to expand... Mpya nimenunua dukani,nina kila kitu. ilikuwa inakubali code bt kuanzia jana inakataa.
Wambandwa said: Mpya? Umeinunua mikononi mwa mtu? Yangu imepotea karibuni na nina RB Click to expand... Mpya nimenunua dukani,nina kila kitu. ilikuwa inakubali code bt kuanzia jana inakataa.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 May 25, 2011 #6 Dannycage said: Mpya nimenunua dukani,nina kila kitu. ilikuwa inakubali code bt kuanzia jana inakataa. Click to expand... Tatizo la kawaida sana, ipotezee kwa muda halafu itakubali yenyewe...
Dannycage said: Mpya nimenunua dukani,nina kila kitu. ilikuwa inakubali code bt kuanzia jana inakataa. Click to expand... Tatizo la kawaida sana, ipotezee kwa muda halafu itakubali yenyewe...
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 May 25, 2011 #7 Mphamvu said: Itakuwa ni yako tu. Ifanye kama sadaka na umpatie mwenzio hiyo code, Mungu atakulipa nyengine inshallah! Click to expand... πound:πound:πound:πound:
Mphamvu said: Itakuwa ni yako tu. Ifanye kama sadaka na umpatie mwenzio hiyo code, Mungu atakulipa nyengine inshallah! Click to expand... πound:πound:πound:πound: