immasakha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 489
- 282
Baada ya kukaa sana hapa nchini katika kupigana na kusoma nimeona bora nibadili muelekeo wa kusoma kwa kutafuta fursa za kimasomo nje ya nchi kwa kupata udhamini katika masomo hayo, kutokana na maelezo yangu ninaomba mwenye kujua anifahamishe njia rahisi ya kupata scholarship katika nchi za wenzetu kama China na nchi nyinginezo, ninahitaji kusoma bachelor degree ya computer science and information security au course inayoendana na hii.