Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,829
Habarini wana jamvi!
Naombeni msaada tafadhari
Niko na pc yangu ya hp probook 6455b.
Mwezi mmoja ulo pita niliunganisha kwa redio kubwa nikawa nasikiliza mziki, baada ya kuchomoa waya spika za nje hazikufanya kazi, nikawa natumia ear4n kusikiliza mziki, sa juzi wakati nacheza game ya euro truck ikatoa sauti kwa spika za nje, nikajaribu kusikiliza mziki ikakubali, baada ya muda nikaizima nikaenda misele, ile narudi kuwasha ikarudia tatizo la kutotoa sauti, japo nasikia kwa ear4n