Hata hometheater za ZEC pia nimeshatumia zipi freshNunua home theater ya LG, Sony au Samsung itakuwa poa zaid,, hautajuta,,
Acha utani kwenye mambo ya msingi...Sea piano ni mwisho wa matatizo
Mkuu tatizo la Tanzania ni wafabiashara wanaleta bidhaa za kufanana na quality moja ya kichini...kwa hiyo mteja unajikuta unacheza kwenye duara lile lile hata kama unauwezo wa kununua mziki mzuri.Nunua home theater ya LG, Sony au Samsung itakuwa poa zaid,, hautajuta,,
Me ninayo yangu,inazingua videos formatsNunua home theater ya LG, Sony au Samsung itakuwa poa zaid,, hautajuta,,
Mkuu tatizo la Tanzania ni wafabiashara wanaleta bidhaa za kufanana na quality moja ya kichini...kwa hiyo mteja unajikuta unacheza kwenye duara lile lile hata kama unauwezo wa kununua mziki mzuri.
Watanzania tujitahidi kutafuta vitu original ili tuwafundishe wafanyabiasha waache mazoea.
Niliishaacha kununua bidhaa za mchina mimi nanunua og tu bila kujali ni new ama used.
Acha utani kwenye mambo ya msingi...
Aborder na Bluetooth ipo
Chukua hiyo Geepas au model nyingine yeyote ya Geepas. Geepas zina mziki mzuri kwa Low end sub ukilinganisha na nyinginezo, Bass ipo na hata mgawanyo wake uko poa.
Model kama ya kwenye picha nilinunua Zanzibar ndio natumia chumbani kwangu. Iko vizuri sanaView attachment 892432View attachment 892432
9K = 9000/= elfu tisaChangamoto kubwa pia Watanzania wanapenda vitu vya bei che,, home theater nzuri na og kabisa ya Sony ya watt 1000 unakuta inaunzwa mpaka 9k ,Mtanzania Anakimbilia zake arborder, rising,, boss zinazochezea chini ya 2k
Unajisikiaje pale umeweka kitu dukani wewe umekinunua 7k unataka ukiuze 7.2k anakuja mtu anakuambia ana 2k afu unakuta ni baba mtu mzima kabisa au kijana aliye hitimu chuo kikuu,,??