Kaka hawa watu wa mitandao ovyo kabisa maana hata mimi ninatatizo la line yangu ya zantel kugoma kuconnect net Nimewafuata pale msasani wameniambia eti niende na laptop ,modem na simu ninayotumia nikabaki hoi.
Sasa line yao nimeitupilia mbal maana ni papuuzi wale
Hamna jinsi nyingine,unavyoweza kuifungua,zaidi ya kuwapigia tu,kama upo karibu na ofic zao ungekwenda tu,kwani kuwapigia huwa wana kuweka pending hadi simu inakatika.