R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,733 Reaction score 103,782 May 30, 2022 #1 Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu. Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,300 Reaction score 13,091 May 30, 2022 #2 Jaribu google Earth
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 880 Reaction score 907 May 30, 2022 #3 Area and Land measurement.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,733 Reaction score 103,782 May 30, 2022 Thread starter #4 DENAMWE said: Area and Land measurement. Click to expand... ngoja nijaribu