Msaada wa printer "HP DESKJET1000 J110a"

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
habari wana jamvi, ninatumia printer aina ya HP deskjet 1000 J110a ninajaribu kuprint excel document inagoma kuleta option ya printer name zaidi ya 0ne note2007 ila nikihitaji kuprint word document au PDF inakubali ..tatizo ni nini..natumia OS windows 7 professional. nawasalisha
 

hebu weka screenshot ya printer zinazoonekana kwenye Excel wakati wa kuprint kama hivi....
 
Umefanikiwa au bado shida iko palepale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…