Msaada wa photoshop free Software Internet download isiyozidi 20MB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa photoshop free Software Internet download isiyozidi 20MB

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mathias Byabato, Mar 24, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mwenye link anisaidie.
  nikijaribu napata za 1.8GB au 800MB ambazo kwa modrem zetu za kibongo unaweza kutumia siku mbili

  asante
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hivi kuna photosop ya bure?
  Hivi kuna photoshop ya 200mb?
   
 3. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Unachotafuta hakiwezekani. Ni kama unataka ugali utakaoweza kulisha watu mia lakini usizidi kilo 10.
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mathias ulikuwa una maana ya software yoyote ya ku edit picha?
  Photoshop uliouliza haipo na huwezi kuipata. Kama unatafuta link kwa ajili ya kudownload photo editing/fixing software sema tukuwekee link hapa.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  kupata anaweza kupata na yeye kathibitisha hilo lakini sio kwa masharti yake ya size ya tena hata ya 800 bado anaona kubwa .Labda anongee na Adobe wamtenezee pack yake.

  Lakini kishaona tatizo lake sio kupata software tatizo lake hasa ni network kwa hiyo akienda intern net nzuri anaipata. within one hour
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Maana yangu alikuwa hawezi kupata Photoshop ya size aliyoandika hapo. Hata version 7.0 ni karibu 600 mb na kadri wanavyoendelea kutoa mpya ndivyo wanavyo na capacity yake inazidi kuongezeka! Hii CS5 ni kubwa karibu 2gb. Hivyo kama anatafuta Photoshop asahau.
  Lakini kama ni Photo editing software ya ukubwa huo hizo ziko nyingi na hata ya 3mb anapata
  :lol:
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Labda useme uko sehemu gani ili kama kuna mwana JF ambaye anayo akupe...mfano kama uko Arusha nijulishe
   
Loading...