jaribu kuweka imei yako kwenye hii site ili upate master code ya simu yako. (( Nokiafree unlock phone codes calculator software )), ikikataa nenda google tafuta nokia bb5 unlocker,,habari zenu wanajamii forum,naomba anayejua anisaidie original phone password kwa sababu nimezisahau,simu ni nokia 2690,natanguliza shukrani!
Jaribu hiyo njia ya mkuu hapo juu(online) but kikubwa jiandae tu kuiflash, lengo la kuweka security lock ni ili hata ikipotea mtu asiweze kuaccess vitu vyako so kama hujui/umesahau hiyo code inabidi uflash na data zote zitapotea.sasa mkuu bahati mbaya me niliweka password bt tofauti na izo bt nimezisahau,nifanyeje mkuu ray05?
jaribu kuweka imei yako kwenye hii site ili upate master code ya simu yako. (( Nokiafree unlock phone codes calculator software )), ikikataa nenda google tafuta nokia bb5 unlocker,,