msaada wa pc

dgratius

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
218
11
nilikuwa na install windows xp service pack 3 kwa kutumia cd ikaishia kati sasa kila nikiwasha inasema insert to continue installation niweka inagomea palepale nimejaribu cd zngne bado inakataa plz anayeweza anijuze
 
Jaribu ku inactivaate antivirus. Halafu install tena. Mi niliwahi pata tabu ku-install modern tu mpaka nikaenda Customer service yao jamaa hakunisaidia, nikajiwa na wazo kuwa niliwahi ambiwa kuna baadhi ya antivirus zita interfere na installation ya programmes, nilipojaribu mara moja kitu kikajibu
 
nilikuwa na install windows xp service pack 3 kwa kutumia cd ikaishia kati sasa kila nikiwasha inasema insert to continue installation niweka inagomea palepale nimejaribu cd zngne bado inakataa plz anayeweza anijuze
Kuna maelezo ya muhimu sana bado yanahitajika ili uweze kusaidiwa....nini kilikusababisha u install windows upya? Cd unayotumia ni original? hazina scratch? zinafanana keys? na kwa nini iishia kati wakati unaformat mara ya kwanza....ulizima? ilizima yenyewe? iligoma tu kuendelea? ilileta error gani kabla ya kugoma kuendelea?

toa maelezo ya kutosha mkuu ili usaidiwe...la sivyo unaweza pewa ARV badala ya panadol!!
 
Nilikuwa nina upgrade from service pack 2 to service 3 actually cd sio original na ili stack yenyewe tu wala siku zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…