Kama mafile yalikuwa mp4 na mp3 halafu yakageuka kuwa jpg yenyewe itakuwa kuna virus kwenye computer yako na unavyozidi kuyaclick ndo anazidi kusambaa, lakini kama kweli una uhakika ni video au audio jaribu kufungua player yako mf. VLC halafu nenda Media>Open File uliselect hilo file, ikikubali hapo basi ni video/audio inachobidi urename extension ya hilo file.