Midundo ya wimbo wa "Hi-Life" wa Wally Badarou ndiyo imetumiwa na mwanamuziki J Martins wa Nigeria katika wimbo wake wa "Iva" uliotoka miaka kama minne hivi iliyopita.Condry Ziqubu
1. IKATI
2.NO WOMAN NO PARTY
PAT SHANGE.
1. I AM NOT A CASSANOVA
2. I surrender (anytime BABY)
SIPHO MABUSE
1.BURN OUT
2.ZANZIBAR
WALLY BADAROU
1. HI -LIFE
2. SHE IS HOT - (Allito featuring Wally BADAROU)
3.Hi Life- (Paul ''Groucho'' Smykle Remix)
Kamata hizo kwanza ukizipenda nicheki nitakuongezea collection
Kwa nyongeza tu ni kwamba huo wimbo Zanzibar uliimbwa na Sipho Hotstix Mabuse akiwa na kundi lililojulikana kwa jina la "HARARI".Huo wimbo wa Zanzibar niliutafuta sana sikuupata kutokana na kutojua muimbaji ila nw ndio nausikiliza hapa asante mkuu"
mkuu nimekubali, dah! ni shida aisee yaani hizi ndio haswa nazitaka hebu weka maujanja mengine maana naona na wadau wengine wameelewa collection yako
mkuu nimekubali, dah! ni shida aisee yaani hizi ndio haswa nazitaka hebu weka maujanja mengine maana naona na wadau wengine wameelewa collection yako
yaani nilikuwa nakusubiri wewe tu jamaa, ngoja nikazinyonye, thanks in advance1. MAHLATHINI AND MAHOTELLA QUEENS.
- Kazet
2: OLIVER N'GOMA
- Lusa
- Adia
- Icole
- Muetse'
- Bane
- Fely
3: SAM FAN THOMAS
- African Typic collection
- Hello hello ( Somo Somo ngobila)
Nikitulia nitapost tena
nitangulize shukrani zangu za dhati kwako rafiki, kiukweli ni kama upo kichwani mwangu maana hizi ndio ninazozitaka haswaa, japo kuna moja sijaipata tatizo ndo sijui inaitwaje ila ktk kibwagizo sauti za kike zinaimba kwa tone ya juu (ooho ooho *2 laa lala lalalala) kisha sauti ya kiume inaingiza maneno kidogo then zinajirudia, sijui kama umeufaham maana maelezo yenyewe hayajitoshelezi1. MAHLATHINI AND MAHOTELLA QUEENS.
- Kazet
2: OLIVER N'GOMA
- Lusa
- Adia
- Icole
- Muetse'
- Bane
- Fely
3: SAM FAN THOMAS
- African Typic collection
- Hello hello ( Somo Somo ngobila)
Nikitulia nitapost tena
Nyimbo ni melody na muraziwamkuu nisaidie kuniandikia jina la msanii na nyimbo, hapo nashindwa kutofautisha kabisaaa, thanks in advance!
Jelani pia anà nyimbo. Inaitwa Marhumbini na jelani ila mwanamziki anàitwa NTOMBI MARHUMBINIthanks mkuu, na huyo ntombi