Njia rahisi ya kusoma ni kuwa na sylabus ya somo, then utafute materials popote hata mtandaoni. Kuongezea, sina uhakika kama vitabu vya Theraja kama bado vinatolewa, ila kama vipo tafuta kimoja vinasaidia sana kwa Electrical Engineering, hasa level hiyo