Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie
Mkuu ulifanikiwa kula shavu veta?Mkuu mwalimu wa nini hata mie nataka maswali aisee hapa pia computer application teacher anayejua atusaidie
Hawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuuMkuu ulifanikiwa kula shavu veta?
Duuuj noma sana miezi 3 sasaHawajaita watu kazini hakuna placement Toka mwezi wa sita mpka Leo mkuu
Ilikua database tuDuuuj noma sana miezi 3 sasa
Hvi usaili wa vitendo wa compiter application ulipewa ufanye nn?
Tunaomba mrejesho mkuu practical interview ilikuaje??Habari zenu wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kazi nafasi ya vocational training na utumishi.
Naombeni msaada wa Nondo za maswali kuanzia written na oral.