wadau humu samahani.nisaidieni jambo hili, linakwamisha matumizi yangu ya internet. ni kwamba nataka kutumia internet kupitia wifi hotsport, ila inaulizia security na nikiiweka inaniambia ni incorrect yaani siyo sahihi, tangu juzi. naomba msaada au namna mbadala.natanguliza shukrani kwa uungwana wenu