jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
Nina-Samsung Galaxy S6 g920F baada ya ku upgrade OS kutoka 6.1 hadi 7.0, kwakutumia Odin3, network Inasumbua inaniambi NOT REGISTERED ON NETWORK, simu hazitoki, yaani hata salio siweziuliza.
Ila kuna uhakika wa kupona kwema maana mpaka imeanza kata tamaa sasamatatizo ya sumsung hayo, litakua tatizo kwenye baseband angalia thread zilizopita kuna mdau alikua na tatizo hilo hilo
au mtag chiefmkwawa
itapona ndio usikate tamaa..ukipata fundi mzuriIla kuna uhakika wa kupona kwema maana mpaka imeanza kata tamaa sasa
Still ni vilevile kakaTuanzie hapa, Piga *#0011# kisha post screenshot. Ni quote ili niione reply yako.
Still ni vilevile kakaView attachment 790294
Ni kwamba nikibonyeza hzo code ina pop up hyo hyo dialog NOT REGISTERED ON NETWORKSikukwambia kwamba hiyo ni solution, nilikwambia uandike hiyo namba ili nione certificate status katika hiyo simu yako. Rudia tena alafu usikate, tuma picha ya kitakachoonekana au angalia kama cert ni pass au NG
Ni kwamba nikibonyeza hzo code ina pop up hyo hyo dialog NOT REGISTERED ON NETWORK
Daah! S6 g920f nazinginezo hajiandikwa IMEI kwenye kwa nje , ila kwa ndani hii IMEI niIMEI number imefeli hapo Mkuu, tazama IMEI namba nyuma ya simu kisha piga *#06# utazame je zinaringana?
Hapo hakuna cha mbadala zaidi ya kununua certfile ambayo utapata IMEI nyingine genuine ya simu yako.
Samsung hizi hazijaandikwa IMEI Kwanje ila kwa ndani ipoIMEI number imefeli hapo Mkuu, tazama IMEI namba nyuma ya simu kisha piga *#06# utazame je zinaringana?
Hapo hakuna cha mbadala zaidi ya kununua certfile ambayo utapata IMEI nyingine genuine ya simu yako.
Hapo hana namna zaidi ya kwenda kwa mtaalamu wa kucheza na hizo IMEI, ataambiwa tu anunue certfile ambayo hata mimi namshauri iwe hivyo maana hili tatizo lilinotokea tangu mwaka jana.Hizo codes hazihitaji msaada wowote wa network mpaka zikudai uwe registered kwenye mtandao itakuwa unakosea kuziandika.
Ila kwakuwa umeshindwa hicho nahisi msaada wangu utakuwa umeishia hapo. Wasubirie wengine au ipeleke kwa mtaalamu wa mambo hayo.
Okey! Naje nikitaka kufanya hvyo, yaan kununua sasa nafanyaje...?IMEI number imefeli hapo Mkuu, tazama IMEI namba nyuma ya simu kisha piga *#06# utazame je zinaringana?
Hapo hakuna cha mbadala zaidi ya kununua certfile ambayo utapata IMEI nyingine genuine ya simu yako.
Hiyo ni process ndefu, Samsung IMEI ambayo ni Genuine kwa S5, S6 n.k haishuki chini ya 60,000 kkoo.Okey! Naje nikitaka kufanya hvyo, yaan kununua sasa nafanyaje...?
Daah! Okey! SawaHiyo ni process ndefu, Samsung IMEI ambayo ni Genuine kwa S5, S6 n.k haishuki chini ya 60,000 kkoo.
eti daah! pole mkuu, kama una utundu kuna jamaa anapush izo cert file ebay kwa usd 20, anakurushia ndani ya dk 10 unarekebisha na octopus box mchezo unaishaDaah! Okey! Sawa
eti daah! pole mkuu, kama una utundu kuna jamaa anapush izo cert file ebay kwa usd 20, anakurushia ndani ya dk 10 unarekebisha na octopus box mchezo unaisha